Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga, (kulia), akisikiliza kuhusu elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Rehema Mkamba alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya Nanenane viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

Mheshimiwa Hasunga, akizungumza jambo na maafisa wa PSSSF kwenye banda la Mfuko huo alipolitembelea

Afisa Mafao Mkuu PSSSF, Bi.Linda Balati (kushoto), akifafanua jambo kwa wanachama wa PSSSF kutoa Benki Kuu ya Tanzania BoT), walipotembeklea banda la Mfukjo huo katika maonesho ya Nanenane kitaifa, viwanja vya Nyakabidni nje kidogo ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSSSF, Bi. Rehema Mkamba akitoa elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wanachama hawa waliotembelea banda la Mfuko huo Nanenane Nyakabindi, Simiyu.