Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Eunice Chiume akizungumza wakati alipotembelea ofisi za New Habari Sinza jijini Dar es Salaam.

Meneja Kiongozi Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Eunice Chiume akizungumza na uongozi wa kampuni ya New Habari Sinza jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Afisa Uhusiano Mwanzamizi wa PSSSF, Bw. Abdul Njaidi na kulia kwake ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw. Denis Msacky.

Picha ya pamoja na uongozi wa New Habari.