Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba, akikabidhi gawio lenye thamani ya Shilingi bilioni 11.85 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) CPA Hosea Kashimba. katika hafla iliyofanyika leo jijini Dodoma.