PSSSF yakutana na jukwaa la Wahariri

Na Mwandishi Wetu.

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, umekutana na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri kwa lengo la kuwajengea uwezo wahariri, Januari 22, 2022.
Semina hiyo ilikutanisha Watendaji Wakuu wa PSSSF wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Psssf, CPA. Hosea Kashimba na jukwaa la wahariri wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa jukwaa Bw. Salim salim.

PSSSF imekuwa na utaratibu wa kukutana na wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaelimisha juu ya utendaji na huduma za PSSSF.

Meneja Mafao Bw. Ramadhani Mkeyenge, akiwasilisha mada wakati wa kikao na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri

Baadhi ya wajumbe wa Jukwaa la Wahariri akifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa wakati wa kikao hicho.

Mkurugenzi wa Uwekezaji Bw. Fortunatus Magambo, akiwasilisha mada wakati wa kikao na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri.