News2019-10-09T05:40:54+00:00
1203, 2022

Prof. Ndalichako azindua wa Bodi ya PSSSF

March 12th, 2022|

*Ampongeza Mhe. Rais kwa kuwezesha hatifungani kutolewa *Bodi itekeleze majukumu yake vyema, Bodi yaahidi kutekeleza majukuumu kwa uadilifu *Asisitiza Uwekezaji uwe wenye tija na endelevu, Na Mwandishi Wetu, Arusha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha kutolewa kwa hatifungani kama malipo ya deni la Serikali kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa [...]

803, 2022

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

March 8th, 2022|

*Rais Samia apongeza Wanawake kwa kudumisha amani, utulivu *Wanawake PSSSF washiriki maadhimisho Na Waandishi Wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiniwa Samia Suluhu Hassan ameitumia siku ya wanawake duniani kuwapongeza wanawake kote nchini kwa jinsi wanavyojitoa katika kujenga uchumi wa Tanzania. Aliyasema hayo jana mjini Unguja katika viwanja vya Maisara katika maadhimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake duniani na kuhudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Hussein Ali Mwinyi. [...]

203, 2022

Wajumbe wa Bodi ya Zabuni watembelea mradi wa PSSSF Quality Plaza

March 2nd, 2022|

*Wataka Mradi ukamilike vyema na kwa wakati * Waongezewa ujuzi wa kudhibiti manunuzi Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Bodi ya zabuni ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) imetembelea mradi wa ukarabati wa jengo la PSSSF Quality Plaza lililopo jijini Dar es Salaam na kuridhishwa na kazi zinazoendelea. Mwenyekiti wa Bodi ya zabuni ya PSSSF, Bw. Gilbert Chawe (wa pili kutoka kushoto) akisisitiza jambo wakati yeye pamoja na wajumbe wengine [...]

2802, 2022

Waziri aipongeza PSSSF na Jeshi la Magereza kwa uwekezaji katika bidhaa za ngozi

February 28th, 2022|

Na: Mwandishi wetu - Kilimanjaro Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako, amepongeza uwekezaji kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na Jeshi la Magereza Tanzania kwa hatua nzuri ya ukamilishaji wa kiwanda cha uzalishaji bidhaa za Ngozi cha Waziri Kilimanjaro (Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd). Waziri Ndalichako ametoa pongezi hizo hivi karibuni baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya [...]

202, 2022

Msemaji Mkuu: PSSSF hongereni kwa kuwafikia Wanachama

February 2nd, 2022|

*Semina itaiongezea uelewa ofisi ya Msemaji *PSSSF kuendelea kukutana na wadau Na Mwandishi Wetu, Morogoro OFISI ya Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali imetoa pongezi kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa kusogeza huduma zake karibu na Wanachama wake nchi nzima ikiwemo Pemba, Ifakara, Korogwe na Kahama. Pongezi hizo zimetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Bw. Rodney Thadeus katika semina juu ya huduma, utendaji na mafao yanayotolewa [...]

Go to Top