Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizo chini ya Waziri Mkuu zilizopo Dodoma, leo tarehe 05 Januari 2021, katika ukumbi wa jengo la PSSSF lililopo Makole jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizo chini ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Jenisa Mhagama (hayupo pichani).

Watumishi walio chini ya Wizara ya Kazi wakimsikiliza Mhe.Jenista Mhagama (hayupo pichani).

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizo chini ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Jenisa Mhagama (hayupo pichani).

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizo chini ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Jenisa Mhagama (hayupo pichani).

Bw. Meshack Bandawe akitoa neno la shukrani kwa niaba ya watumishi, kwa Mhe. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya Mhe. Waziri kumaliza kikao hicho.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Jenista Mhagama (Waliokaa katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi walio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake.