Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Hosea Kashimba amefanya ziaraya kikazi katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma na kukutana na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ambaye ameridhishwa na mwanzo mzuri wa utekelezaji wa majukumu ya Mfuko.

 

Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Hosea Kashimba (Kulia) akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.

 

 

 

Spika wa Bunge Mhe. Job Ngugai akipokea ‘Notebook’ kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Hosea Kashimba (Kulia).

 

 

 

Afisa Habari Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul Njaidi akitoa maelezo kuhusu vipeperushi kwa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Hosea Kashimba. Mhe. Job Ndugai ambaye ameridhishwa na mwanzo mzuri wa utekelezaji wa majukumu ya Mfuko.

 

Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Hosea Kashimba (Kushoto) akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi.

Mhe. Juma Nkamia (kulia), Mbunge wa Chemba akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu PSSSF Bw. Hosea Kashimba. Katikatini Afisa Habari Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul Njaidi.

Mhe. Richard Ndassa (kushoto), Mbunge wa Sumve akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Hosea Kashimba.