Bodi ya Wadhamini ya PSSSF yatembelea kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro, kinachoendeshwa kwa ubia kati ya PSSSF na Jeshi la Magereza.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro, Mhandisi. Masud Omari, akifafanua jambo kwa Bodi ya Wadhamini ya PSSSF.