News

News2019-10-09T05:40:54+00:00
1003, 2020

PSSSF yashiriki siku ya Wanawake Simiyu

March 10th, 2020|

Na Mwandishi Wetu, Simiyu MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umejumuika na Wanawake wote ulimwenguni katika kuadhimisha siku ya Wanawake ambayo kitaifa ilifanyika mkoniani Simiyu na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan. PSSSF iliwakilishwa na watumishi Wanawake, wakiongozwa na Meneja Kiongozi (Uhusiano na Elimu kwa wanachama) Bibi. Eunice Chiume, pamoja na Meneja Utawala Bibi Esther Mwamyalla. “Kwa kweli tumefurahi kuungana na wanawake wengine ulimwenguni katika kuadhimisha siku hii muhimu kwetu” alisema [...]

2502, 2020

DG PSSSF, Mkuu wa Magereza wakutana

February 25th, 2020|

Na Mwandhishi Wetu, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)  Bw. Hosea Kashimba mnamo tarehe Februari 24, 2020 alifanya ziara ya kikazi katika makao makuu ya Jeshi la Magereza jijini Dodoma. Katika ziara hiyo Mkurugenzi Mkuu alikutana na kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee kwa lengo la kuzungumzia uwekezaji unaofanywa kwa pamoja kati ya PSSSF na Jeshi la magereza katika kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Moshi, Kilimanjaro. Uwekezaji [...]

902, 2020

KASI YA UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA NGOZI, KARANGA KINACHOMILIKIWA KWA UBIA KATI YA PSSSF NA MAGEREZA YAMRIDHISHA WAZIRI JENISTA MHAGAMA

February 9th, 2020|

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama Februari 8, 2020 ametembelea na kukagua ujenzi wa majengo ya Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi kinachojengwa katika eneo la Gereza Kuu Karanga, Moshi na kuridhishwa na hatua kubwa zilizofikiwa. Utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo wa ubia kati ya Jeshi la Magereza na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upo katika awamu [...]

902, 2020

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA RASMI BARAZA LA WAFANYAKAZI PSSSF

February 9th, 2020|

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amewataka wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kuhakikisha wanasimamia vyema yale yote ambayo wafanyakazi wanapaswa kuyafanya kwenye maeneo yao ya kazi. Mheshimiwa Waziri Mhagama ameyasema hayo  Februari 8, 2020 jijini Arusha wakati akizindua baraza la wafanyakazi PSSSF. “Ninyi mnawakilisha kanda mbalimbali za Mfuko wetu, mnapaswa kuhakikisha hakuna uzembe katika utendaji wetu [...]

Load More Posts